Wednesday, October 26, 2011

zengwe la ajali laendelea kuutikisa mkoa wa Mbeya


Maiti ikinasuliwa kutoka kwenye moja ya magari yaliyopata ajali katikaeneo la pipeline mkoani Mbeya, ajali hiyo imetokea asubui na kusababisha foleni kiasi cha magari mengine kushidwa kupita. Tutawaletea taarifa juu ya chanzo na mengineyo kadiri taarifa zitakavyokua zinatufikia.



Habari kwa hisani ya Mjegwa blog

No comments: