Thursday, October 27, 2011

THE VIBE vs Zawadi na mimi




jana nikapigiwa sim na mtu akaniambia kiongozi njoo umejishindia zawadi safi ya jezi ya timu unayoipenda.....nikasogea mjengoni nikakabiziwa kitu cha jangwani...wadau tukutane jumamosiiiiiiiii

No comments: