Thursday, June 9, 2011

NI NANI KUWA VODA COM MISS IRINGA 2010 -2011?


Ni nani kati ya hawa ungependa awe Voda COM Miss Iringa 2011-2012.Shindano la Voda Com Miss Iringa litafanyika siku ya Ijumaa tarehe 10 /6/2011 katika ukumbi wa Higland mjini Iringa na mshindi wa shindano hili atakabidhiwa zawadi yake mara baada ya kupatikana Voda Com miss Iringa usiku.

No comments: