
Habari zilizotufikia zinadai kuwa watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo na wengi wao kujeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Taqwa kupata ajali mbaya eneo la Iyofi mpakani mwa Iringa na Morogoro ,inadai kuwa basi hilo lilikuwa likielekea jijini Dar es Salaam
source:http://francisgodwin.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment