
Five Star Modern Taarab wamepata ajali na tour basi maeneo ya Mikumi leo usiku (3/21/2011), kwa taarifa mbazo ATBlog imepata ni kuwa watu zaidi ya watano wamefariki, Inasemekana kuwa tour basi la Five Modern Taarab aina ya costa liligonga loli lililokuwa mbele yake.
No comments:
Post a Comment