Tuesday, November 2, 2010

Rais Mteule wa ZANZIBAR, DR. ALI MOHAMMED SHEIN anaapishwa kesho


Na habari zilizotufikia hivi punde zinasema Rais Mteule wa

ZANZIBAR, DR. ALI MOHAMMED SHEIN anaapishwa Kesho katika uwanja wa michezo wa AMANI mjini UNGUJA, ikiwa ni siku MBILI baada ya kushinda nafasi ya urais wa ZANZIBAR katika uchaguzi mkuu wa TANZANIA.

Sherehe za kuapishwa kwake zitaanza saa TATU asubuhi.

No comments: