Matokeo rasmi ya kugombea ubunge Tanzania bara yameanza kutolewa ambapo mgombea ubunge kupitia Chadema katika jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere ameibuka mshindi kwa asilimia 59.71 dhidi ya mgombea wa CCM V. Mathayo aliyepata asilimia 39.31.(www.globalpublishers.info/)
No comments:
Post a Comment