Monday, September 13, 2010

BUS LA HAPPY NATION LAPATA AJALI..


Bus lenye No za Usajili T 542 AVK linalomilikiwa na Happy National linalofanya safari zake kati ya Dar-Mbeya limepata ajali maeneo ya Forest Mbeya..Ajali hiyo ambayo imesababishwa na uzembe wa dereva wa lori lenye no za usajili T 295 AJC aliyekata kona bila taarifa na kusababisha bus hilo lililokuwa linaovatek kukosa muelekeo na kuparamia kingo za barabara...baada ya tukio hilo abiria waliokuwa wanasafiri na bus hilo walishuka kwa hasira na kuanza kuwapiga dereva na kondacta wa lorry hilo...mpaka mdau wetu anafika eneo la tukio walikuwa wameshachukuliwa na polisi waliofika eneo hilo na kupelekwa Hospitali..abiria wote walitoka salama salmini.




Wafanyakazi wa Bus hilo wakijaribu kulitoa bus hilo


Lorry lililosababisha ajali hiyo.

No comments: