
Ze Original Comedy ndani ya Mkutano wa Kampeni Mbeya Mjini

mambo ya Ze Original Comedy

Kpt Komba ndani ya nyumba

Marlow....mambo ya kiduku ( Pipi CCM remix.)"Pipi...move out of the way, hatukuja kupoteza time, tunarudi tena kwa kishindo na Jakaya ndiyo Rais. Haloo sasa tuungane tushikamane, kwa pamoja tusonge mbele CCM ni Zaidi"

Mchuma wa JK

Gari ya mdau AT ilipigwa chata ili aende sawa na JK
No comments:
Post a Comment