Wednesday, September 1, 2010

MABANGO VS PAYE



nilikuta mtu analalamika "Ninasikia hasira ninapoyaona mabango ya matangazo ya campaign yaliyozagaa kila kona wakati gharama zake ni PAYE zetu kubwa tunazokatwa.....inauma sana"!!!!je ni ukweliiii???

No comments: