the Enginias PUB.....as hapa bwana kila mtu unayemkuta ni inginia....
AKA paska bata maji....complain about the inginia PUB
AKA the don aka jambazi la usiku aka the mmiliki wa naniinooo...
Cant even kutaka kukumbuka whts happen this nite maana ilivyofika late nite wazee wa farasi haooo wakatimba na kutuaribia pozi ...eti unajua nini tatizo...si jama aka the bloger alipiga picha tukio la watu wakipigana sasa mmoja wao akasema etiii...ameonewa.....Gues WHT,,,,jamaa si akaishiaa mjengoni ........galaxy imezua mambo..BUT THANKS TO ALL FRIENDS especial Majani super producer man for ur effort..tusubiri milioni zetu taratinu tukamchukue shemeji yetu arusha....






2 comments:
Ebwana nice bata naona hako katoto kapo kweli jamani ok
Hahaha Lambat The Big Shoow
Post a Comment