...wanunuzi wengi wa laptop na netbook hapa Tanzania huuziwa laptop/netbook zenye Windows 7 Starter. well, hii ni kutokana na mazingira ya soko, pia matakwa ya Microsoft kwa makampuni ya hardware kama Dell.
Mfano wa netbook zinazokuja na OS hii ni pamoja na Acer Aspire 1 na Dell Inspiron Mini. Pamoja na limitations nyingi saana za Windows 7 Starter, kushindwa ku set your own wallpaper au kupata zile transparency themes ni mojawapo ya limitations hizo.
Hii upelekea wadau wengi sana kulazimika ku uninstall genuine Windows, na kuinstall upya Windows feki za 7 Home au 7 Proffesional au 7 Ultimate ilhali madhara ya kutumia fake Windows ni makubwa.
Timu nzima ya DellMat baada ya kuliona hili imekuandalia wewe mdau, huduma bora kabisa ya kukusuluhishia hizo limitations za windows 7 Starter bila kuondoa originality ya system yako.
piga namba hii hapa chini na utatumiwa e-mail yenye user manual na installation files ili ku-unlock laptop/netbook yako kwa gharama nafuu na ZERO SIDE EFFECTS.

No comments:
Post a Comment