Friday, May 4, 2012

miss mbeyA CITY center

am now @ the ukumbi gues what tha show iko poaaaaaaaaaaaa,,,,yani si kama mwaka jana leo ni poaaaaaaaaaaaa
unajua nini...am enjoyin hapa nilipo maaanaa...naweza sema big up kwa 2sistazzzz...u made it mwaaaaaaaaa..kisesss for u girls...


those are warembo wano compit for tha post yani they are sooo mwaaaaaa....hahahahahahahaha najua wapambe mshaanza gunaaa...my BFF`S mwanipa mwaaa pia maaana najua mko nami kama kawaaaaaaaaaaa....chekini kwa youtube fo livelive show



gues what tayari nimeshaanza pokea sms ohhhh AT wewe si unamke...jamani nipo hapa na nipo nae special for this event si unajua yeye ndo kichwa cha Dellmat jamani...hahahahahahahahahahaahha kuna chick najua kanunaaaaaaaaaaaaaaaaaa...ila mie sijali zaidi ya kukuambia kwedraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....hahahahahahahhahaha
thats me na my mhhhhhhhhhhhhh,,,,my usingiziiiiii




those are ma jirani basi rahaaaa...baba lusako..eti ndo analeta posa kwa my Careen...haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..I LIKE IT....unajua nini hakuna kitu kizuri kama kuwa na watu wa karibu kwa party like this...i like it kama hutaki kwedraaaaaaaaaaaaaaaa





No comments: