Wednesday, April 18, 2012
Nothing to say!!!!!!!
hahahaaa...as the issues za kiingereza cha bungeni zikiwazinapamba moto kitaa as mie kila kona pande za green city nikipita nazisikia..((hahaha ikumbukwe hata Marehemu kanumba walisema sana about the same issue ila alipoenda mbele za haki kila mtu kimyaaaaa..na kufanya kama hakuwaisemaga)anyway tuyache hayo..chilin here @my office chair listenin kiss Fm live live (yani nastrimmmm live hapa si unajua mambo ya fiber)OPP ikohewani now...ayaaa nikakumbuka kuwa kuna wimbo kwakweli toka ndani ya moyo wangu nipenda hii song ya MWANA FA+LINNAH-YALAITI....hapo sina la kusema zaidi...tha song z mwaa...kama hutaki kwedraaaaaaaaaa.....hahahaaaaaaa nite nite BFF`s tukutane kwa match live live(baca vs ...)sitakia andika hapo maana wataongea sanaaa ....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
hahahaha T umetishaaaaaa
toa shaka na wasiwasi moyoni..kukuepuka hilo haliwezekani...lv u bff
Post a Comment