kuleee mwishoni kabisa ndo zambia iyoo..
U knw what!!!!!!!!! i was drivin from home nikafika hapa...moyo ukasema no Arthur stop and look how mbeya is beautiful...yeaah guys mbeya iko powa...inanikumbusha all about my kishumundu place...damm it...u need to visit this place hasa kipindi hiki cha mvua maana .....IT ALL GREEN..........
1 comment:
Dah! kwel inakukumbusha kishumundu. na milima ile ya kule, kama nyumban vile.
Post a Comment