Wednesday, March 7, 2012

.....Jumapili nilipata nafasi ya kuhuzuria misa katika kanisa moja mbeya...happy zaidi nilikuta ni sikukuuu ya wanawake kanisani hapo....so kukawa na kitu cha fashion show...rahaa sana ilikuwa..embu na wewe cheki mavazi yaliyoonyeshwa..nilisikia faraja sana kusali hapa kanisani....
huyu ndo Mchungaji wa kanisa husika..(kushoto)

wamama wametupia kitu cha asili(vazi la asili)

u knw what??????thats vazi la ujauzito....guess what...hapo amechoka mbayaaaa.....Its was very fun

kitu vazi la Jikoni...u heardddddddd..........

u knw what??????thats vazi la ujauzito....guess what...hapo amechoka mbayaaaa.....Its was very fun

Pedesheeee...papaaaaa....Robart...huyu ndo mdahmini wa chama cha wanawake kanisani hapoo......big up neiba



Binti`s wametupia kitu cha vazi la shule...................

Vazi la kanisani...hahahahaa ..they said sio watupia mambo ya pedo or what what....u need to look smart banaaa na pia kiheshima zaidi..!!!!!!!

kitu cha job aiseeeeee...(vazi la oficin)bana za ladies are full upako..no vimini ukiwa waenda job..si ndio mazeee...kitu smart bwana......

here AT i was ohhhh mamamamaaa...Kitu cha night aisee...yani full kuwakawaka,,,,,,,,,,u heard....hata mabinti wa yesu wanatupia kitu cha night kisawasawa,,,,,,,,it was so niceeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

No comments: