Monday, October 3, 2011

CCM NDIYE ALIYEIBUKA KINARA HUKO IGUNGA TABORA KUPITIA DR.KAFUMU.

DR DALALY PETER KAFUMU (MBUNGE_Mbunge mpya wa Igunga kwa kupitia kura za wananchi wa jimbo hilo waliomchagua kwa kumwamini,amepata kura 26484 dhidi ya mpinzani wake mkuu kutoka chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA) ndugu Joseph Kashndye aliyepata kura 23260 kwenye uchaguzi huo mdogo uliofanyika kwenye jimbo hilo hao jana jumapili.
Kwa matokeo hayo inamaanisha kuwa CCM inaendelea kulikalia jimbo hilo baada ya kujiuzuru kwa mbunge wake aliyepita ndugu Rostam Aziz.

No comments: