Monday, August 22, 2011

FUNDA MOJA LA ZIADA vs WEEKEND



Mwana usalama barabarani akitoa plati namba ya gari lililopata ajali maeneo ya mama john jijini mbeya ajali hiyo imetokea jana usiku baada ya dereva wa gari hilo aina ya toyota corola kuzidiwa kilevi na kukosa mwelekeo na kutumbukia katika daraja

No comments: