Tuesday, June 7, 2011

Miss Mbeya 2011 ndani ya Office yetu asubuhi hii

Miss Mbeya 2011 Shadia Henry.... ilibidi nimuachie kiti kidogo ili tuchonge vizuri

miss mbeya akiwa na Mr Ramadhani(system Administrator)

Best friend wa Miss Mbeya Devotha Ngalo akishow love na mtaalamu wetu wa mifumo ya Computer Alexander Mwembe

Devotha na Miss Mbeya ndani ya ofice yetu leo asubuhi

Bingwa wa kudownload alinanuswe na Miss Mbeya


Mwisho kabisa Miss Mbeya akashow Love na Prezidaaaaaaaa aka DAD

No comments: