
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi akiwa kweneye uzinduzi wa michuano hiyo. Kushoto ni Mweneyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa Iddi Kipingu

Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulidi Kitenge akitangaza live michuano hiyo leo. Kushoto ni Amri Masae wa Capital TV.

Mshambuliaji wa timu ya vijana ya Kinondoni (jezi nyekundu) akipambana na beki wa timu ya Dodoma Joseph Amos, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam, katika mechi ya fungua dimba la michuano ya Copa Cocacola. Dom walilala kwa bao 1-0.
No comments:
Post a Comment