Tuesday, June 7, 2011

hizi zilikuwa za bonanza Vs Coca Cola


Bwana Kiria yeye akasema alikuwaga Goli kipa so wadau wakaanza kuvurumisha makiki...was so fun

Meneja mauzo Godstone akionyesha umahiri wake katika soka

Mdau akasema Nooooo hata mimi I can do It

Godstone akiwaza what to do next.............

furaha sana kama upo na Coca cola..(Coca Cola open Happiness)


always Coca Cola..................

No comments: