Tuesday, November 2, 2010

Rage juuuuuuuuuuuu


Alhaj Ismail Aden Rage, kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi, anaongoza matokeo ya nafasi ya Ubunge katika kata zote 25 za Tabora mjini

No comments: