Friday, August 13, 2010

Carwash maarufu Mbeya


Tha place ipo karibu na kiota kingine cha hapa mby(Carnival Night park)...yani unapiga maji huku mchuma unapendezeshwa..jamaa wanapakubali as wadogo full uaminifu hata ukiacha M kadhaa unazikuta salaamaa

No comments: